Friday, October 9, 2015

Jurgen Klopp amesaini kandarasi ya miaka mitatu usiku wa jana kuwa kocha mkuu wa klabu ya Liverpool na amepewa jukumu la kurejesha makali ya majogoo wa jiji katika michuano mikubwa ya Ulaya.
Klopp anatambuliswa asubuhi hii mbele ya waandishi wa habari na ataongea kwa mara ya kwanza na LIVERPOOL FC TV.
Raia huyo wa Ujerumani mwenye umri wa miaka 48 anachukua mikoba yaBrendan Rodgers ambaye alifutwa kazi siku ya Jumapili baada ya kuiongoza timu hiyo ambayo iko nafasi ya 10 katika jedwali la ligi ya Uingereza kwa miaka mitatu na nusu.
Klopp hajakuwa akikufunzi timu yoyote tangu mwezi Mei,wakati alipomaliza ukufunzi wake wa miaka saba katika klabu ya Borussia Dortmund ya Ujeruamani ili kuchukua likizo.
Anatarajiwa kumleta Zeljko Buvac na Peter Krawietz,manaibu wake wa zamani katika klabu hiyo ya Bundesliga ili kujaza safu yake ya ukufunzi.
MECHI SITA ZA KWANZA ZA KLOPP

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video