Thursday, October 8, 2015

Wakati huu Chelsea ikiwa nafasi ya 16 katika msimamo wa ligi kuu England (EPL), Cesc Fabregas amemuunga mkono kocha wake ambaye yupo kiti moto, Jose Mourinho akiamini kwamba anaweza kubadili upepo mbaya unaoendelea sasa na kuifanya timu ianze kushinda.
Chelsea wameshinda mara mbili tu mpaka sasa katika michezo ya ligi na Jumamosi iliyopita walipewa kipigo kitakatifu na Southampton wakiwa uwanjani kwao Stamford Bridge.
Lakini licha ya maisha magumu wanayopitia, Fabregas anadai Mourinho ni kocha bora zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Chelsea na amemsifu kwa kuwa na mafanikio.
Mourinho has had major success at the club and won the Premier League trophy last season

Fabregas amewaambia Radio Marca: "Mourinho amenisaidia katika wakati mgumu kwenye maisha yangu ya soka na amenifanya nijiamini".
"Nitafanya kila anachoniomba. Katika maisha ya ana kwa ana amenisaidia mengi, namheshimu kwa hilo.
"Sisi(Chelsea) hatuko vizuri, lakini tutafanya vizuri. Tuna kocha bora klabuni. Watu hawajasahau hilo, miezi mitatu iliyopita tulishinda ubigwa wa ligi kuu na kombe, lakini tunatakiwa kubadili hali ya mambo".

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video