Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi sasa anatumia kifaa maalum ili kupunguza ukali wa maumivu yake ili aweze kurejea nyumbani mapema zaidi.
Messi anatakiwa kurejea uwanjani baada ya wiki nane, lakini kifaa hicho maalum ili kimsaidie kurejea mapema kabla ya wiki nane.
Kifaa hicho kimekodiwa nchini Uingereza kutoka kwa mmoja wa madaktari anayeaminika kwa magonjwa yanayowasumbua wanasoka au wnamichezo mbalimbali.
0 comments:
Post a Comment