Wednesday, October 7, 2015

Cafu amemtaja beki bora wa kulia kwa sasa duniani.

Cafu anajulikana kama moja ya mabeki wa kulia bora kuwahi kutokea duniani.
Mbarazil huyo amecheza michezo 142 kwa timu take ya taifa, akishinda makombe mawili ya dunia, lakini wakati huo huo akichaguliwa kwenye kikosi cha mwaka cha UEFA.
Je, kwake yeye ni mchezaji gani ambaye anahisi ndiye beki bora wa kulia kwa sasa duniani.
Caf, amesema kwamba Jon Flanagan ndiye mlinzi wa kulia ambaye kwa upande wake anahisi ndiye beki bora.


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video