Katika muendelezo wa kujiandaa na mechiya nne ya ligi kuu Tanzania Bara msimu mpya wa 2015/2016 dhidi ya mahasimu wake, Dar Young Africans, kikosi cha Simba leo kimeanza rasmi mazoezi mjini Unguja, Zanzibar.
Simba na Yanga zitakutana tarehe Jumamosi ya Septemba 26 mwaka huu zikiwa na jumla ya point 9 huku zote zikiwa zimeshinda michezo yote mitatu ya mwanzo kabla ya kukutana.
0 comments:
Post a Comment