Manchester United leo wamekwea kileleni mwa ligi kuu nchini Uingereza baada ya kuining'iniza Sunderland kwa mabao 3-0, mchezo uliopigwa kwenye dimba la Old Trafford maskani kwa mashetani wekundu hao.
Magoli ya United yalifungwa na Memphis Depay mnamo dakika ya 45, Wayne Rooney dakika ya 46 na Juan Mata dakika ya 90.
Vikosi vya timu zote vilikuwa hivi:
Man Utd: De Gea, Valencia, Smalling, Blind, Darmian, Carrick, Schneiderlin, Mata, Rooney, Depay, Martial.
Wachezaji wa akiba: Jones, Young, Romero, Ander Herrera, Fellaini, Schweinsteiger, Pereira.
magoli: Depay 45, Rooney 46, Mata 90
Sunderland: Pantilimon, Jones, Kaboul, O'Shea, Van Aanholt, M'Vila, Cattermole, Johnson, Toivonen, Lens, Borini.
Wachezaji wa akiba: Larsson, Gomez, Defoe, Coates, Yedlin, Mannone, Fletcher.
Kadi: Toivonen, Jones
Mwamuzi: Mike Jones (Cheshire)
0 comments:
Post a Comment