Saturday, September 26, 2015


Vijana wa Brendan Rodgers leo wamemlinda kocha wao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Aston Villa leo katika muendelezo wa michezo ya ligi kuu Uingereza.
Mabao ya Liverpool yalifungwa na James Milner dakika ya 2 na Daniel Sturridge dakika ya 59 na 67.
Nao Aston Villa walijipatia magoli yao kupitia kwa Rudy Gestede dakika ya 66 na 71.
Vikosi vya timu zote vilikuwa hivi:
Liverpool (3-5-2): Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Clyne, Milner, Lucas, Moreno, Coutinho, Ings, Sturridge (Allen 94).
Wachezaji wa akiba wasiotumika: Toure, Gomez, Lallana, Origi, Ibe, Bogdan. 
Wafungaji: Milner 2, Sturridge 59, 67.
Aston Villa (4-5-1): Guzan, Hutton, Richards, Lescott, Amavi, Sanchez (Veretout 60), Westwood, Gueye, Sinclair, Gestede, Grealish (Traore 69).
Wachezaji wa akiba wasiotumika: Clark, Bacuna, J Ayew, Gil, Bunn.
Wafungaji: Gestede 66, 71.
Mwamuzi: Jonathan Moss.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video