Tayari nahodha Vicent Enyeama ameomba kujitoa kwenye kikosi
cha Nigeria ‘Super Eagles’ kitachocheza na Taifa Stars Septemba 5, yaani
Jumamosi.
Kuanza kubomoka kwa kikosi hicho kunatokana
na kuitwa kwa wageni wengi sana huku baadhi ya walioachwa kama Mikel Obi na
Victor Moses wakizua mjadala.
Inaelezwa Enyeama ameamua kujiondoa kwa sababu hiyo ingawa
amesingizia masuala ya kifamilia. Kikosi kamili alichoita Oliseh pamoja na timu
na nchi wanazotoka ni hawa hapa.
MAGOLIKIPA: Vincent Enyeama (Lille OSC, France);
Carl Ikeme (Wolverhampton Wanderers, England).
WALINZI: Leon Balogun (FSV Mainz 05, Germany);
Kingsley Madu (AS Trencin, Slovakia); Godfrey Oboabona (Caykur Rizespor,
Turkey); William Troost Ekong (FK Haugesund, Norway); Kenneth Omeruo (Kasimpasa
SK, Turkey).
VIUNGO: Joel Obi (Torina FC, Italy); Izunna Ernest
Uzochukwu (FC Amkar Perm, Russia); Obiora Nwankwo (Coimbra FC, Portugal);
Lukman Haruna (Anzhi Machatsjkala, Russia); Rabiu Ibrahim (AS Trencin,
Slovakia).
WASHAMBULIAJI: Ahmed Musa (CSKA Moscow, Russia);
Emem Eduok (Esperance ST, Tunisia); Emmanuel Emenike (Al Ain, UAE); Anthony
Ujah (Werder Bremen, Germany); Sylvester Igboun (FC UFA, Russia); Moses Simon
(KAA Gent, Belgium).
0 comments:
Post a Comment