Sir Alex Ferguson ameweka wazi namna alivyokuwa akitawala kwenye klabu ya Manchester United kwa kuhakikisha hakuna mchezaji ambaye analipwa pesa nyingi kuliko yeye kwenye kipindi chake cha mwisho ndani ya Old Trafford.
Ferguson amesema aliiambia familia ya Glazer pamoja na mkurugenzi mkuu David Gill kumuongezea mshahara wake mara mbili haraka iwezekanavyo baada ya kufanya makubaliano ya kusainisha mkataba mpya mshambuliaji Wayne Rooney kubakia Manchester United wakati alipokuwa akiwaniwa na Manchester City mwaka 2010.
Kipengele hicho kilikubaliwa bila kupingwa wala hakukuwa na tatizo katika hilo, amefafanua kwenye kitabu chake kipya kinachokwenda kwa jina la ‘Leading’. Ferguson amesema aliendelea na utaratibu wa kuhakikisha hakuna nyota wa klabu hio anaelipwa pesa nyingi kuliko kocha.
“Wakati Glazer na Davi Gill walipokubali kuongeza mshahara wa Wayne Rooney, waliniuliza najisikiaje juu ya hilo”, amesema Ferguson.
“Niliwaambia sidhani kama inafaa Rooney kupata mshahara mara mbili ya ninaopata mimi, Joel Glaze haraka akasema: “Moja kwa moja nakubaliana na wewe, sasa tufanyaje?”
“Ilikuwa rahisi. Tulikubaliana hakuna mchezaji atakakuwa akilipwa zaidi yangu. Tukakubaliana ndani ya muda mfupi na inahitaji kusom sentensi iliyopita kupata jibu”.
Rooney was 24 years old at the time, with less than two years on his deal and had been flirting with what would have been a controversial move to Manchester City.
Rooney was 24 years old at the time, with less than two years on his deal and had been flirting with what would have been a controversial move to Manchester City.
Rooney alikuwa na miaka 24 wakati ule, miaka miwili ilibaki mkataba wake kumalizika na ingeleta mkanganyiko wakati huo Manchester City walikuwa wakimuhitaji.
Alitoa kauli ambayo aliuliza malengo ya klabu wakati United walipokubali kumlipa kiasi kikubwa cha mshahara kwa ajili ya kumbakiza.
Mshambuliaji huyo wa England alisaini mkataba mpya October 2010 wenye thamani ya mshahara wa £180,000 kwa wiki.
It made him the best paid player in United’s history. In February last year, he signed for another five years at £300,000 a week.
0 comments:
Post a Comment