Nahodha wa timu ya taifa ya Nigeria, Super Eagles, Vincent Enyeama ameomba kujindoa katika mechi ya Jumamosi dhidi ya Tanzania.
Ingawa amesema ana matatizo ya kifamilia, tayari kuna taarifa kuwa kipa huyo hajafurahishwa kutoitwa kwa wakongwe Mikel Obi na Victor Moses wakato Kocha mpya, Sunday Oliseh alipotangaza kikosi chake.
0 comments:
Post a Comment