Jamie Carragher anaamini kwamba Liverpool wana mshambuliaji wa pili kwa ubora katika ligi kuu Uingereza.
Nguli huyo wa Liverpool amesema kuwa ni Aguero pekee ndiye mwenye uwezo wa kumzidi Sturridge.
Aguero alifunga mabao 35 msimu uliopita katika mashindano yote, huku akiwa amefunga mabo 109 tangu awasili kwa matajiri hao wa jiji la Manchester.
Hata hivyo, Sturridge amefanikiwa kufunga mabao 42 tangu ajiunge na klabu ya Chelsea
Amerudi: Daniel Sturridge akiifungia Liverpool bao la tatu katika mchezo dhidi ya Watford.
No.1: Sergio Aguero ndiye mshmbuliaji bora wa EPL kwa sasa kwa mujibu wa Carragher.
Na Carragher anaamini kwamba wakiwa kamili, Aguero na Sturridge ni washambuliaji wawili wa kiwango cha juu kabisa katika ligi kuu Uingereza.
Action Images via Reuters / Carl Recine
Daniel Sturridge akishangilia goli katika mchezo dhidi ya Watford
Aguero amefunga mara mbili tu tangu kuanza kwa msimu mpya.
0 comments:
Post a Comment