Thursday, August 6, 2015

Ligi kuu ya England inaanza jumamosi ya wiki hii na sasa timu zipo katika maandalizi ya mwisho.
Chelsea imecheza mechi tano za kirafiki, imepoteza tatu, haijashinda yoyote zaidi ya kutoka sare mbili na kuibuka kidedea kwa mikwaju ya penati katika mechi mbili.
Hakika hali hii imemvuruga Jose Mourinho kwani alitarajia kuona kikosi chake kinaonesha cheche.
Jana usiku, Chelsea imepigwa goli 1-0 na Fiorentina katika mechi ya kirafiki.
Goli pekee la timu hiyo ya ligi ya Italia, Seria A limefungwa na Gonzalo Rodriguez dakika ya 34 kipindi cha kwanza.
Chelsea ambao wanakwenda kucheza mechi ya ufunguzi ya Premier League Jumamosi dhidi ya Swansea City hawakuwa na kasi nzuri katika mechi hiyo.
The Frenchman landed on top of Fiorentina defender Ricardo Bagadur after clattering into the Croat during the friendly match
Hata hivyo,  Mourinho amesema: "Yalikuwa mazoezi mazuri, wachezaji wengine wamecheza kwa dakika 60" 
Hapa chini ni Kikosi cha Chelsea na mabadiliko aliyofanya , kwenye mabano ni mchezaji na dakika aliyoingia.
CHELSEA (4-2-3-1): Begovic; Aina (Ivanovic 46mins), Zouma, Terry (Cahill 46), Traore (Azpilicueta 46); Mikel (Matic 46), Loftus-Cheek (Ramires 58); Moses (Willian 58), Oscar (Fabregas 58), Cuadrado (Hazard 58); Falcao (Remy 58)

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video