Hatimaye zimesalia saa chache kuanza kushuhudia ligi maarufu ya soka ya England 'English Premier League'.
Wachambuzi wa gazeti la Sportsmail la Uingereza wamekuja na utabiri wa timu gani zitaibuka mabingwa, zitakazoshika nafasi nne za juu, zitakazokuwa mabingwa wa vikombe vingine, zitakazoshuka na kupanda daraja.
CHELSEA watatetea ubingwa wao? kwa mujibu wa waandishi 14 kati ya 16, wamesema ndiyo.
BARCELONA wataweza kutetea ubingwa wao wa Uefa? wengi wanadhani ndiyo.
Hapa chini ni utabiri wa wachambuzi wa MailOnline
JAMIE REDKNAPP
Bingwa: Chelsea
Timu nne za juu: Chelsea, Arsenal, Man City, Man United
Zitakazoshuka daraja: Norwich, Watford, Sunderland.
Bingwa wa FA: Arsenal
Bingwa wa kombe la Ligi: Chelsea
Bingwa wa Uefa Champions League: Barcelona
Zitakazopanda daraja: Middlesbrough, QPR, Hull
JAMIE CARRAGHER
Bingwa: Chelsea
Timu nne za juu: Chelsea, Arsenal, Manchester City, Manchester United.
Zitakazoshuka daraja: Bournemouth, Watford, Sunderland.
Bingwa wa FA: Manchester City
Bingwa wa kombe la ligi: Liverpool
Bingwa wa UEFA Champions League: Real Madrid
Zitakazopanda daraja: Burnley, Derby, Middlesbrough
LEE CLAYTON
Bingwa: Chelsea
Timu nne za juu: Chelsea, Arsenal, Manchester City,
Manchester United
Zitakazoshuka daraja: Leicester, Bournemouth, Watford
FA Cup: Arsenal
Kombe Ligi: Chelsea
Bingwa wa Champions League: Bayern Munich
Zitakazopanda daraja: Middlesbrough, Derby, Nottingham Forest
JEFF POWELL
Bingwa: Arsenal
Timu nne za juu: Arsenal, Chelsea, Manchester United, Manchester City
Zitakazoshuka daraja: Bournemouth, Watford, Leicester
Zitakazopanda daraja: Wolves, Ipswich, Cardiff
Kombe la ligi: Chelsea
Kombe la FA: Manchester United
OLIVER HOLT
Bingwa: Chelsea
Timu nne za juu: Chelsea, Manchester United, Arsenal, Manchester City
Zitakazoshuka daraja: Sunderland, Aston Villa, Norwich
FA Cup: Manchester United
Kombe la ligi: Chelsea
Ubingwa wa Champions League: Barcelona
Zitakazopanda daraja: Burnley, Middlesbrough, Nottingham Forest
IAN LADYMAN
Bingwa: Chelsea
Timu nne za juu: Chelsea, Arsenal, Manchester City, Manchester United.
Zitakazoshuka: Bournemouth, Watford, Aston Villa.
Bingwa wa FA: Manchester United
Kombe la Ligi:Chelsea
Uefa Champions League: Barcelona
Zitakazoshuka daraja: Burnley, Derby, Middlesbrough
DOMINIC KING
Bingwa: Chelsea
Timu nne za juu: Arsenal, Manchester City, Manchester United
Zilizoshuka daraja: Watford, Norwich, Sunderland
Kombe la FA: Manchester City
Kombe la Ligi: Liverpool
Uefa Champions League: Barcelona
Zitakazopanda: Middlesbrough, Derby, Hull
ROB DRAPER
Bingwa: Chelsea
Timu nne za juu: Chelsea, Arsenal, Man Utd, Man City
Zitakazoshuka daraja: Leicester, Watford, Norwich
Kombe la FA: Manchester United
Kombe la ligi: Liverpool
Ubingwa wa Champions League: Real Madrid
Zitakazopanda daraja: Middlesbrough, Burnley, QPR
RIATH AL-SAMARRAI
Bingwa: Chelsea
Timu nne za juu: Chelsea, Manchester United, Manchester City, Arsenal
Zitakazoshuka daraja: Leicester, Watford, Norwich
Kombe la FA: Manchester City
Kombe la ligi: Tottenham
Uefa Champions League: Barcelona
Zitakazopanda: Derby, Hull, Middlesbrough
MIKE KEEGAN
Bingwa: Chelsea
Timu nne za juu: Chelsea, Manchester City, Arsenal, Manchester United.
Zitakazoshuka: Bournemouth, Leicester City, Sunderland.
Kombe la FA: Manchester United.
Kombe la ligi: Tottenham Hotspur.
Uefa Champions League: Barcelona.
Zitakazopanda daraja: Hull City, Middlesbrough, Burnley.
0 comments:
Post a Comment