Friday, August 7, 2015

 Kikosi cha Azam FC jana kilialikwa Ikulu na Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na kumpelekea kombe la CECAFA Kagame Cup.
Azam FC walitwaa ndoo hiyo kwa mara ya kwanza wakiifunga 2-0 Gor Mahia ya Kenya katika mechi ya fainali iliyopigwa mwishoni mwa Juma lililopita uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akiongea baada ya kukabidhiwa kombe hilo, Rais Kikwete alisema kwamba amefurahi sana kwa Azam kutwaa ubingwa kwani timu za Tanzania zina ukame wa Makombe.
Rais Kikwete aliwataka vijana wa Azam kuwa na nidhamu wakati wote wa maisha ya soka na kuangalia zaidi kimataifa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video