Wanafunzi wamekutwa wakiiga moja ya matukio makubwa katika soka ambayo yalihusisha wanasoka wenye majina makubwa sana duniani.
Tukio hili limechukuliwa kutokana na project ilikuwa akijulikana kwa jina la 'Football's Bad Boys' ambapo ndipo wanafunzi hao walipokuwa wakifanya project hiyo.
Hii ilikuwa na nia ya kukumbushia matukio yenye ishara ya kiburi miongoni mwa wanasoka nguli akiwemo Paolo Di Canio wakati akimsukuma mwamuzi Paul Alcock, goli la mkono la Diego Maradona, Zidane kumpiga kichwa Matterazi wakati wa kombe la dunia 2006
Na haya ndio matukio yenyewe.
0 comments:
Post a Comment