Thursday, August 6, 2015

AWALI Benedict Tinoco, alichekelea mno kutua Jangwani akitokea Kagera Sugar, lakini hali ya ushindani aliyokutana nayo imeanza kumkatisha tamaa kiasi cha kuamini hana chake.
Tinoco alisema hakutegemea kuona anachokiona Yanga kwa sasa kwani alivyotoka Kagera Sugar, alijua ameula kwa kuwa Yanga ni timu kubwa inayoweza kumtimizia ndoto zake, lakini sasa anaona ndiyo basi tena.
“Inaniuma, ila naomba, nafunga na kufanya mazoezi kwa bidii ili niweze kupata namba kwani bila hivyo kwangu ni ngumu kuwa kipa wa benchi,” alisema.
Tinoco alifafanua kwa kusema kuwa mbele ya Ally Mustafa ‘Barthez’ na Deo Munishi ‘Dida’ ni ngumu mno kupata namba.
“Nikiwa mazoezini wananitia moyo kujituma na kuangalia wao wanafanyaje na kocha wa makipa (Juma Pondamali) anahitaji nini,” alisema.

Tinoco alisema anatamani mazoezi ndio yangekuwa mechi kwani angepata hata muda wa kuonyesha kuwa anaweza kuisaidia timu, lakini hali sivyo ilivyo.
Chanzo:Mwanaspoti

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video