Saturday, August 8, 2015

Bao pekee la Awadh Juma limetosha kuipa ushindi klabu ya Simba dhidi ya SC Villa ya Uganda katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyomalizika jioni ya leo uwanja wa Taifa, Dar es salaam.
Awadh amecheka na nyavu dakika ya 90 na kuwapa raha mashabiki wa klabu hiyo waliofurika kwenye mtanange huo kwa kuadhaminisha siku ya Simba, 'Simba Day".
Hii ni mara ya kwanza kwa Simba kushinda mechi ya Simba Day tangu ianzishwe mwaka 2008 chini ya mwenyekiti Hassan Dalali akishirikiana na msaidizi wake, Omar Gumbo.


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video