Thursday, August 6, 2015

Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere amepata jeraha la kifundo cha mguu wa kulia na huenda asiweze kucheza kwa wiki sita hadi nane. 
Wilshere, 23, aliumia wakati wa mazoezi, siku moja kabla ya ushindi wa 1-0 wa Arsenal dhidi ya Chelsea katika Ngao ya Hisani. 
Hatohitaji kufanyiwa upasuaji, lakini anatarajiwa kukosa kucheza kwa takriban miezi miwili. Wilshere alikosa kucheza kwa miezi mitano msimu uliopita baada ya kuumia kifundo cha mguu wa kushoto.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video