Thursday, August 6, 2015

BARCELONA jana usiku imeichapa 3-0 Roma katika mechi ya kirafiki iliyopigwa uwanja wa Nou Camp, mjini Barcelona, Hispania.
Magoli ya Barca yalifungwa na Neymar (27), Lionel Messi (41) na Ivan Rakitic (66).
Moja ya tukio lililovuta hisia za mashabiki wengi ni pale ambapo Messi alinusurika kupata kadi nyekundu kufuatia kumpiga kichwa  Mapou Yanga-Mbiwa.
Barcelona talisman Lionel Messi (right) launched an astonishing headbutt at Roma defender Mapou Yanga-Mbiwa
Mfaransa, Mapou alikwaruzana na Messi ambapo akamuwekea kichwa Messi ambaye alijibu mapigo kwa kumgonga 'bichwa', lakini refa akampotezea Supastaa huyo na kuwaonyesha wote wawili kadi ya njano.

Refa huyo Mhispania, Javier Estrada Fernandez alitakiwa kumuonyesha kadi nyekundu Mapou kwa kitendo cha kumpiga kichwa Messi, lakini naye ilistahili kadi nyekundu kwa kujibu mapigo.
The Argentine No 10 squared up to the former Montpellier and Newcastle United centre half as they initially touched foreheads
Wacheki wanaume walivyotunishiana 'mibichwa'
The irritated Barca team captain on the day then aggressively threw his head downwards into Yanga-Mbiwa's face
Nahodha wa mechi hiyo wa Barcelona, Lionel Messi alimpiga kichwa Yanga-Mbiwa
The 28-year-old then grabbed the towering France international by the neck with his left hand
Leandro Castan and the referee then attempted to break up the brawl
Kumbe Messi katili ?
Roma's Brazilian defender Leandro Castan (centre) and Spanish referee Javier Estrada Fernandez then attempted to separate the pair
 Leandro Castan (katikati) na mwamuzi wa mechi, Javier Estrada Fernandez waliwaachanisha.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video