Sio maneno teana, winga wa kimataifa wa Argentina, Angel Di Maria ametua PSG ya Ufaransa kutokea Manchester United.
Rekodi mpya ya usajili wa pauni milioni 44 akitokea Manchester United. Angalia anavyong’ara na uzi wake mpya mkononi.
UHAMISHO WAKE KATIKA TIMU MBALIMBALI.
Rosario kwenda Benfica £5.6m
Benfica kwenda Real Madrid £23m
Real Madrid kwenda Manchester United £60m
Manchester United kwenda PSG £44.4m
0 comments:
Post a Comment