Thursday, August 6, 2015


Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ni miongoni mwa wanaume wenye mvuto zaidi duniani kutokana na sura yake, umbo na uwezo wa kutandaza soka.
Supastaa huyo wa Ureno mwenye miaka 30 anawavutia watu wengi kwa 'u-handsome boy' wake, lakini shabiki huyu wa Ronaldo, raia wa Uholanzi, Shanta Ronaldo amezidisha mapenzi.
Shabiki huyo kijana mwenye miaka 17 amekiri kwamba ametumia maelfu ya paundi kutengeneza sura yake ili angalau ifanane na Ronaldo.
Shanta pia anatumia jina la pili la  nyota huyo wa zamani wa Manchester United kama jina la baba yake.
"Mapenzi yangu kwa Cristiano hayana mfano" Shanta aliwaambia Daily Mirror. "Sijui nimetumia kiasi gani kubadili sura yangu ili ifanane na Ronaldo, laini nina uhakika ni maelfu ya paundi".
"Nimekutana naye mara kadhaa na siwezi kueleza jinsi alivyo mtu wa ajabu".
Cristiano Ronaldo superfan spends thousands of pounds to look like his hero [Tweets & Pics]
Mwaka huu Shanta ametembelea Madrid mara tano kwa lengo la kuonana na kipenzi chake Ronaldo.
"Nilimsubiri kila siku Valdebebas [uwanja ambao Real Madrid hufanya mazoezi] kwa lengo la kuonana naye".
"Sasa ananijua na kila nikienda Madrid naweza kuonana naye, najivunia sana".
Cristiano Ronaldo superfan spends thousands of pounds to look like his hero [Tweets & Pics]
Kijana huyo aliripotiwa kufeli majaribio katika klabu ya Ream Madrid Oktoba mwaka 2014.
"Sio kwamba nampenda tu, ananipa changamoto. Marafiki zangu, familia yangu wananiita Cristiano Ronaldo. Wanajua mapenzi yangu kwake na wanaheshimu. Wengine wanaweza kudhani nina kichaa, wajue ndivyo nilivyo".
"Watu wananiambia jipende nilivyo, lakini siwezi kuwa kivingine kuliko nilivyo sasa".

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video