Saturday, August 8, 2015


Jose Mourinho amesaini mkataba mpya wa miaka minne katika klabu yake ya Chelsea. 


Kocha huyo raia wa Ureno sasa anaondoka na pauni milioni 30 kutokana na mkataba huo mpya.

'Kama klabu inafuraha, nami nina furaha. Nadhani kuongeza mkataba mpya ni kitu cha kawaida kwangu". Amesema Mourinho.

Mourinho ameingoza Chelsea kubeba makombe mawili ya Capital One na Premier League.

Mreno huyo mwenye miaka 52, hakufanya vizuri kwa maana ya kupata ushindi katika mechi zake za majaribio kujiandaa na msimu mpya lakini amesisitiza watafanya vizuri.


Chelsea itaanza msimu wa 2015-16 kwa kucheza na Swansea.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video