Saturday, August 8, 2015

Mshambuliaji mpya wa Manchester United Memphis Depay (katikati) akimpongeza Wayne Rooney baada ya kusababisha kupata goli dhidi ya Spurs.
















Manchester United wamefungua vizuri pazia la ligi kuu Uingereza baada ya kuifunga Tottenham Hotspurs kwa bao 1-0, mchezo uliopigwa katika dimba la Old Trfford.
Beki wa Spurs Kyle Walker alijifunga goli wakati akiwa katika harakati za kuokoa mpira ulokuwa miguuni kwa Rooney ambaye alikuwa akielekea langoni mwa Spurs kuutumbukiza mpira kimiani.
United leo walichezesha wachezaji wao wapya wote huku mlinda mlango namba moja David De Gea akiwa jukwaani pamoja na Victor Valdez.
Kwa ujumla mchezo ulikuwa umebalansi huku pande zote zikicheza kwa kasi ya aina yake.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video