Monday, August 31, 2015

 Giroud akimpongeza Benzema katika moja ya mechi zao za timu ya taifa.
Olivier Giroud amekiri kuwa Karim Benzema ni mchezaji ambaye Arsenal inamhitaji.
Alisema: “Ni kweli kwamba kila mwaka kuna fununu kuhusu ujio wa mshambuliaji mpya.
"Kulikuwa na sababu za kusajiliwa kwa Alexis Sanchez na Danny Welbeck, na wengine wakati tulipokuwa tukimzungumzia Luis Suarez.
"Ni dhahiri kuwa ndani ya timu, kuna mambo mengi ambayo watu hutarajia, tunahitaji washambuliaji wapya wazuri na natambua fika kuwa mashabiki wanahitaji timu itumie pesa zaidi kusajili wachezaji wapya.
"Tuna kikosi kizuri ambacho kina ubora wa hali ya juu, na nina uhakika kwamba kwa kikosi hiki, tutafika mbali sana.
"Ila mbali na hayo itakuwa ni jambo jema endapo Benzema takuja klabuni hapa pia".
 Karim Benzema. 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video