Juma Kaseja ambaye alikuwa kimya kwa muda mrefu kuhusu club gani atajiunga nayo kwa ajili ya msimu ujao, hatimaye kila kitu kipo wazi.
Mashabiki wa VPL na Juma Kaseja watamuona akilinda lango la Mbeya City kwa msimu ujao.
Picha hii imenifikia ambapo Kaseja alikuwa anakabidhiwa jezi ya Mbeya City na habari ikufikie kwamba mkataba huu ni kwa muda wa miezi 6.
0 comments:
Post a Comment