Wachambuzi wa soka wa BBC Sport wametoa utabiri wao wa nani atakuwa bingwa wa EPL msimu ujao.
Ian Wright mchezaji wa zamani wa Arsenal pamoja na mtangazaji Gabby Logan wamesema Arsenal itakuwa bingwa.
Mchezaji wa zamani wa Manchester United Dion Dublin ametabiri Man Utd kushinda, Chris Waddle anadhani Manchester City watakuwa mabingwa, huku wachambuzi wengi wakisema Chelsea wataibuka na ubingwa. Unadhani nani atashinda msimu ujao?
Nini utabiri wako wewe, dondosha maoni yako hapa
0 comments:
Post a Comment