Monday, August 31, 2015

Mwisho wa picha: De Gea yuko njiani kuelekea Real.
Televisheni ya TVE ya nchini Uhispania inaripoti kuwa Real Madrid wamekubali kutoa kitita cha pauni milioni 25 ili kuinasa saini ya kipa wa Manchester United  David De Gea.
Inasemekana kuwa Madrid watamtoa na kipa wao Keylor Navas, ambaye alichelewa kurudi kutoka katika timu yake ya taifa ya Costa Rica.
TVE pia imeripoti kuwa United bado wanafanya tathmini ya Navas.
 Navas yuko mbioni kujumuishwa katika mkataba wa de Gea.
Leo usiku ndio siku ya mwisho kwa uhamisho wa wachezaji kuelekea nchini Uhispania, maana yake ni kwamba uhamisho wowote ule unatakiwa kukamilika kabla ya muda wa mwisho wa usajili kwa mujibu wa saa za UK.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video