Saturday, August 29, 2015

Chelsea leo wameangukia pua baada ya kupokea kipigo cha mabao 2-1 nyumbani dhidi ya wabishi Crystal Palace, mchezo uliopigwa katika dimba la Stamford Bridge.
Crystal Palace ndio walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Bakary Sako mnamo dakika ya 65 kabla ya Radamel Falcao ambaye aliingia kutokea benchi kuisawazishia Chelsea dakika ya 79.
Crystal Palace walicharuka tena na kufunga bao la pili na la ushindi kwa katika mchezo huo kupitia kwa Joel Ward dakika ya 81.
Joel Ward akifunga goli la pili kwa kichwa cha kujirusha na kuiandikia Crystal Palace bao la pili.
Bakary Sako akiifungia Crystal Palace goli la kwanza.
Thibaut Courtois akiwa hoi chini baada ya kufungwa goli.
Yannick Bolasie, Yohan Cabaye na Bakary Sako wakishangilia goli.
Radamel Falcao akiifunga goli la kusawazisha Chelsea kwa kichwa cha kujirusha.



Kocha wa Chelsea Jose Mourinho.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video