Tuesday, August 4, 2015

Hull City imekamilisha usajili wa mkopo wa msimu mzima wa mshambuliaji kinda wa Arsenal Chuba Akpom.
Akpom (19) aliifungia Arsenal mabao matatu katika ushindi wao wa 4-0 dhidi ya mastaa wote wa Singha kwenye kombe la Barclays Asia Trophy mwezi uliopita.
"Akpom, mchezaji wa timu ya taifa ya Uingereza chini ya miaka 20, amejiunga na wachezaji wenzake wapya leo asubuhi tayari kwa kuongeza nguvu zaidi katika safu ya ushambuliaji chini ya meneja Steve Bruce kabla ya mechi ya Jumamosi ya ufunguzi wa msimu mpya wa EPL dhidi Huddersfield Town." ilisomeka taarifa kutoka kwenye tovuti ya Hull City.
Akpom anaku mchezaji wa nane wa Arsenal kutolewa kwa mkopo katika kipindi hiki cha usajili baada ya Wojciech Szczesny, Carl Jenkinson, Yaya Sanogo, Aisley Maitland-Niles, Daniel Crowley, Jon Toral na Isaac Hayden ambaye pia amejiunga na Hull City

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video