Tuesday, July 7, 2015

 Katibu mkuu wa Yanga, Dr. Jonas Tiboroha (kulia) amewasili Mbozi-Mbeya kuzungumza na viongozi wa Kimondo FC ili kufikia muafa wa mkataba wa mshambuliaji mpya wa klabu hiyo, Geoffrey Mwashiuya ambaye amesajiliwa na Yanga bila kufuata taratibu, kwa mujibu wa Kimondo FCwenyewe.
Awali Yanga na Mwashiuya mwenyewe walisema mchezaji hana mkataba na Kimondo zaidi ya fomu iliyojazwa TFF kwa ajili ya kucheza ligi daraja la kwanza, lakini viongozi wa kimondo walionesha mkataba wa miaka minne (4) alioingia na klabu hiyo ya ligi daraja la kwanza na baada ya hapo Yanga wanafanya jitihada za kumalizana nao.

Dr. Tiboroa(kulia) akiwa na Afisa wa Kimondo FC tayari kufanya mazungumzo juu ya mchezaji Mwashiuya.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video