Mambo yamezidi kunoga kwa mabingwa wa kandanda Tanzania bara, Young Africans baada ya leo kuwatandika KMKM katika mechi ya Kombe la Kagame na kujihakikishia kutinga robo fainali.
Yanga imeshinda magoli 2-0 na waliocheka na nyavu ni Malim Busungu dakika ya 61 na Amissi Tambwe dakika ya 72.
Taarifa kamili inakujia punde.....
0 comments:
Post a Comment