Wednesday, July 22, 2015

Mchezo huenda ukawa mgumu au rahisi kwa Yanga, kutokana na nadharia mbili.
Kwanza, mchezo huenda ukawa rahisi kwa upande wa Yanga, endapo wataingia akilini wakiwaza wapo nyumbani, wanahitaji matokeo ili kutuliza mihemko kwa wapenzi wao. Lakini kikubwa wakiwa hawana papara ya kutaka kuifunga Telecom mabao mengi, huenda wakapata matokeo.
Pili, Huenda ukawawia vigumu endapo watahitaji kuifunga Telecom mabao mengi, huenda mchezo ukawa mgumu kwao.
Grafu ya Yanga kwa sasa ipo kwenye mstari wa sifuri, wanahitaji kuipandisha kidogo kidogo.
Telecom, Kwa kuwa wamepoteza michezo miwili mfululizo huku wakiruhusu kufungwa mabao 6, mchezo wa kwanza bao 1-0, wa pili mabao 5-0. Leo nafikiri watakwenda kujilipua, sitegemei kuwaona wakicheza kwenye eneo lao la hatari, kwa kuwa hawana cha kupoteza. Pia huenda wakacheza kama wapo mazoezini kwa dhana hiyo hiyo.
Kwa ujumla, Yanga wanapaswa kutulia na kucheza mpira wao. Ushindi muhimu kama wanahitaji kusonga mbele.
Credit:Sokatanzaniacom

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video