UONGOZI wa Yanga umepanga kung’oa wachezaji watakaoonyesha kiwango cha juu kwenye michuano ya Kombe la Kagame inayoendelea jijini Dar es Salaam kwa gharama yoyote bila kujali anatoka timu gani.
Kauli hiyo inamaanisha kuwa klabu zilizokuja kwenye michuano hiyo ya 39, zisijekushangaa iwapo zitarejea makwao bila nyota wao kwani suala la fedha halitakuwa tatizo kwa mabingwa hao wa Tanzania Bara kumsajili mchezaji yeyote wanayemtaka.
Tayari Yanga kupitia benchi lao la ufundi chini ya Mholanzi, Hans van der Pluijm, limebaini vipaji kadhaa vilivyoonekana katika mechi za awali za michuano hiyo, zilizopigwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Taifa na ule wa Karume, Dar es Salaam.
Chanzo:Bingwa
Chanzo:Bingwa
0 comments:
Post a Comment