WEST HAM YASONGA MBELE EUROPA LEAGUE, NIMEKUWEKEA MATOKEO YA MECHI ZOTE Ligi ya Europa iliendelea hapo jana ambapo West Ham ya England imesonga mbele katika hatua ya mzunguko wa tatu baada ya kuiondoa Birkirkara ya Malta kwa penalt 5-3. Matokeo mengine haya hapa chini:
0 comments:
Post a Comment