Sunday, July 26, 2015

Kocha wa Arsenal Arsene Wenger bado ana imani kubwa kuwa ataimarisha eneo la ushambuliaji kwa timu yake endapo atapata mtu sahihi atakaeendana na mfumo wa timu yake
Jana Arsenal waliibuka na ushindi mzito wa magoli 6-0 dhidi ya Lyon katika michuano ya kombe la Emirates huku Olivier Giroud akiwa moja ya watu waliofumga mabao hayo.
"Hebu tusisahau kwamba tumefunga mabao ya kutosha kwenye mechi zetu za hivi karibuni; tatu, nne na leo (jana) sita. na wakati huo huo hatukuwa na Welbeck, wala Sanchez. Maana yake ni kwamba tuna uwezo mkubwa sana katika safu yetu ya ushambuliaji. 
"Tuanataka kuongeza magoli kadhaa zaidi ya tuliyofunga msimu uliopita lakini nahisi mwishoni mwa msimu tulitengeneza nafasi za kutosha tu, hivyo ni matumaini yangu kwamba tutalithibitisha hilo. Baada ya kusema hayo sasa, sisi tuko wazi kabisa katika dirisha hili la usajili. Lakini vile vile hatuna mchecheto wala uhitaji sana wa kusajili."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video