WEMA SEPETU HAPANA CHEZEA SIASA...ALA ZA USO UBUNGE SINGIDA Msanii maarufu wa filamu nchini, Wema Abraham Sepetu amepigwa chini katika kura za maoni kugombea ubunge wa viti maalum Singida. Aysharose Mattembe ndiye ameibuka kidedea akimtupa kwa mbali Madam Wema aliyeshika nafasi ya nne.
0 comments:
Post a Comment