Wednesday, July 22, 2015

Jose Mourinho amethibitisha kwamba Chelsea inahitaji beki wa kushoto.
Meneja huyo wa Chelsea anataka kumuuza Mbrazil, Filipe Luis baada ya kushindwa kufanya kazi ipasavyo London akitokea klabu ya Atletico Madrid ya Hispania.
Luis kwasasa yupo katika mazungumzo na Atletico ili arejee kukipiga klabuni hapo.
Chelsea wanahusishwa kumsajili mlinzi wa kushoto wa Augsburg na vyanzo vya habari vinadai kuwa mabingwa hao wa Premier League wanakaribia kumsajili beki huyo mwenye miaka 29.
Hata hivyo, Mourinho amekanusha kusajili mchezaji yeyote majira haya ya kiangazi akisema kwamba hakuna nafasi katika kikosi chake.
Mourinho amesema kama anapokea ofa kutoka klabu zinazotaka kununua mchezaji wake halafu mchezaji  akakubali kuondoka kama ilivyo kwa Juan Cuardrado, hapo ndipo anaweza kusajili.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video