Thursday, July 9, 2015


Uongo, uongo, ni uongo mkubwa! Didier Drogba haendi FC Porto.....

Gazeti la Daily Stars lilitangaza Jana Jumatano kwamba, Gwiji wa Chelsea, Didier Drogba anaweza kuungana na Iker Casillas katika klabu ya Porto.
Stars walitaja chanzo chao kuwa ni gazeti moja la Ureno ambalo liliripoti kuwa Drogba mwenye miaka 37 ambaye ni mchezaji huru anatua Porto.
O Jogo amezungumza na wakala wa Drogba, Theirno Seydi ambaye amekanusha taarifa hizo.

Seydi ameliambia gazeti hilo kwamba: "Hata hatujawasiliana na FC Porto, hizo ni tetesi nyingine, ni uongo".
Angalia kopi ya stori ya O Jogo hapo chini:

Screen Shot 2015-07-09 at 11.12.06 AM

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video