Ziara ya Cristiano Ronaldo nchini Japan imeendelea wiki hii ambapo nyota huyo wa Real Madrid ameonekana kwenye Show moja ya TV.
Safari hii Ronaldo ameamua kuwafurahisha mashabiki wake kwa kucheza mpira pamoja nao.
Cristiano amechezea mpira na watu wengi wa Japan, huku akijaribu kuonesha baadhi ya ujuzi wake.
Tazama video chini:
0 comments:
Post a Comment