Thursday, July 23, 2015


Hatari sana kumbe yule Mshambuliaji hatari wa Kasulu mjini
anaetambulika kama Moses Machali alikuwa anang'ang'ania kuwa mpiga penati kwenye timu yake ya zamani lakini makocha wakamzingua ndo ikawa chanzo cha yeye kwenda kwenye timu mpya iliyopanda daraja kwa kasi iliyosajiliwa kwa jina la Act.... mwanzoni sikujua kama kwenye siasa
kuna wanaong'ang'ania kupiga penati, binafsi nilizani akina "Super Mario" ndo wanaofanya hivyo..!! Anyway tuachane na hayo mambo ya akina
Esther Bulaya maana hapa sio mahala pake. Leo nimeguswa na kitu kimoja tu, unajua ni nini? Twende pamoja hadi mwisho tusome pamoja...

Kama wengi tunavyojua, penati ni nafasi nzuri sana ya kufunga goli kwani wataalamu wa soka wanakwambia penati ni 90% ya goli ila Mario anapingana nao anakwambia penati ni 100% yote yanawezekana kuwa majibu sahihi. 


Vilabu vingi vinapenda kuwapa majukumu wachezaji fulani kupiga penati endapo itapatikana, vilabu vyetu sizani kama vina mfumo huu, naamini Shaffih yupo katika utafiti juu ya hili. Leo hii naomba tutazame vilabu 20 vya English Premier League na wachezaji waliopewa majukumu ya kupiga penati endapo itatokea, kumbuka kwenye mabano ni wachazeji husika..

Arsenal

{Arteta, Cazorla, Giroud, Wilshere}

Aston Villa

{Sinclair, Bacuna}

Bournemouth

{Kermorgant, Wilson, Rantie}

Chelsea

 {Hazard, Fabregas, Costa}

Crystal Palace

{Jedinak, Murray, Gayle, Chamakh, Puncheon}

Everton

{Lukaku, Baines, Mirallas}

Leicester

{Nugent, Ulloa, Kramaric}

Liverpool

{Henderson, Balotelli, Sturridge}

Man City

{Aguero, Toure, Bony, Kolarov}

Man Utd

{Mata, Rooney}

Newcastle Utd

{Cisse, Cabella, Riviere}

Norwich

{Hoolahan, Dorrans, Hooper, Grabban }

Southampton

{Tadic, Ward-Prowse, Davis, Long, Pelle}

Stoke City

{Adam, Walters, Arnautovic}

Sunderland

{Gomez, Johnson, Wickham}

Swansea City

{Shelvey, Gomis, Sigurdsson, Ki}

Tottenham

{Townsend, Kane, Soldado, Adebayor}

Watford

{Deeney, Vydra, Ighalo}

West Brom

{ Berahino, Morrison, Gardner, Sessegnon}

West Ham

{Noble, Nolan}

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video