Pilika pilika za usajili zinaendelea nchini na leo taarifa rasmi zinasema kwamba mabingwa wa Tanzania bara, Young Africans wameamua kuwapeleka kwa mkopo wachezaji wake watatu ambao tayari wameshapata timu za kuchezea msimu ujao.
Wachezaji hao ni Hussein Javu anayejiunga na timu mpya iliyopanda ligi kuu msimu ujao, Maji Maji FC, 'Wanalizombe'
Yanga
Kiungo wa klabu hiyo Hassan Dilunga anakwenda kujiunga na Stand United ya Shinyanga, wakati mlindi wa kushoto, Edward Charles anatua kwa maafande wa JKT Ruvu.
0 comments:
Post a Comment