Saturday, July 25, 2015

Baada ya kukamilisha usajili kujiunga na fc Porto kutokea Real Madrid, Iker Casillas jana amefungwa magoli yake ya kwanza akiwa mchezaji wa FC Porto.


Wareno wameanza lawama wakisema magoli yote aliyofungwa Casillas dhidi ya Monchengladbach alikuwa na uwezo wa kuokoa hususani la pili, lakini alishindwa kujituma.



Lars Stindl aliifungia Monchengladbach bao la kwanza akimtungua gwiji huyo wa Real Madrid kwa shuti dhaifu lililoingia pembeni ya goli.

Casillas alionesha kwamba umri unakwenda baada ya kufungwa goli la pili ambapo lilitiwa kimiani na Ibrahima Traore.

Tazama video halafu jiulize, Iker Casillas anahitaji lawama?

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video