Tuesday, July 21, 2015

Hebu fikiria una gari lako lenye rangi nyekundu, halafu ghafla mtu analibadili rangi na kuwa la Bluu.

Hivi ungefanyeje kama ungekuwa Eden Hazard wa Chelsea?

Kuna stori moja imeibuka wakati Chelsea wanatangaza jezi yao ya nyumbani itayotumika msimu ujao.

Mbelgiji huyo amechomoza katika tangazo la jezi mpya ya nyumbani ambapo Diego Costa na Cesar Azpilicueta  wamelibadili rangi gari la Hazard.

Tazama video chini:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video