Jumamosi ya wiki iliyopita, nahodha wa Yanga SC, Nadir Haroub 'Cannavaro' alikosa mkwaju wa penalti Yanga ikilala 2-1 dhidi ya Gor Mahia katika mechi ya kwanza ya kombe la Kagame.
Cannavaro alipiga penalti aina ya Panenka ambayo kipa aliidaka.
Seydou Doumbia wa AS Roma naye alipiga Panenka wakati timu yake ikichuana na Manchester City katika mechi ya kirafiki iliyopigwa jana.
Tazama Video ya Penatli ya Panenka ya Doumbia:
0 comments:
Post a Comment