Wednesday, July 22, 2015

Akiwa amepewa mapumziko zaidi kutokana na kushiriki michuano ya Copa America, hatimaye, Roberto Firmino amewasili mjini Liverpool .
Mbrazil huyo ambaye alisaini Liverpool kutokea Hoffenheim kwa dau la paundi milioni 29 amekosa maandalizi ya msimu mpya huko Australia na Mashariki ya mbali, lakini sasa atajiunga na kikosi katika mazoezi yatayokuwa yakiendelea  Melwood.
Firmino amewasili jana mchana na alijikuta akipata kazi ya kusaini jezi za mashabiki.

Tazama Video hapa chini:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video