Nyota zao la La Masia Academy ambaye kwasasa ni winga wa Barcelona, Pedro Rodriguez kwasasa anahusishwa sana kujiunga na Manchester United na jana alishindwa kukanusha tetesi hizo wakati anazungumza na shabiki wa Barca.
Wakati anaondoka mazoezini, Winga huyo wa Hispania mwenye miaka 28 alisimamishwa na shabiki huyo mwenye hisia kali na hataki kuona Pedro anaondoka.
Pedro aliulizwa na shabiki kama kweli anaondoka, Pedro alimjibu kwamba hajui.
Mrembo huyo akaanza kulia na wakapiga picha ya haraka, tazama video hapa chini:
0 comments:
Post a Comment