Baada ya kutua Manchester City kutokea Liverpool, Raheem Sterling jana alicheza mechi yake ya kwanza katika michuano ya International Champions Cup dhidi ya AS Roma.
Sterling ameanza vizuri kwani alifunga goli ndani ya dakika tatu.
Leo chaneli ya You Tube ya Manchester City imetoa video inayoonesha Individual Highlights za Sterling katika uwanja wa Melbourne.
Kitu cha kushangaza, City hawajaweka kipande kile ambacho Sterling alikanyaga mpira juu na kuanguka wakati akijaribu kukokota mpira kumtoka beki wa Roma kabla ya kufunga goli.
Tazama video hapa chini:
Tazama video hapa chini:
0 comments:
Post a Comment