Manchester United leo asubuhi wameshinda mechi yao ya pili ya maandalizi ya msimu mpya.
Vijana hao wa Louis van Gaal wameichapa 3-1 San Jose Earthquakes 3-1.
Magoli ya United yamefungwa na Juan Mata, Memphis Depay ma Andreas Pereira.
Tazama magoli yote ya Manchester United na Highlights za mechi:
0 comments:
Post a Comment