Thursday, July 30, 2015

Unaweza kusema huu ni mzuka au wamechoka kula bata?
Baada ya kuwa 'busy' na michuano ya Copa America, kocha wa Barcelona, Luis Enrique aliongeza siku za mapumziko ]kwa nyota waliokipiga huko Chile.
Swali, muda wa kurejea umeshafika? jibu ni hapana! bado wiki moja, lakini hali imekuwa tofauti.
Neymar, Dani Alves, Leo Messi, Javier Mascherano na Marc-Andre ter Stegen leo wamewashtukiza Barcelona baada ya kurejea kutoka mapumzikoni kufuatia kuzitumikia nchi zao katika fainali za Copa America.
Waargentina wawili Leo Messi na Javier Mascherano walitakiwa kurudi Jumanne ya wiki ijayo, lakini wamefanya 'Surprise' kwa kurejea mazoezini wiki moja kabla.
Barcelona wame-upload video kwenye akaunti yao ya You Tube ikiwaonesha nyota hao watano wakifanya vipimo vya afya kabla ya kuanza mazoezi.
Agosti 11 mwaka huu, Barcelona watapambana na Sevilla katika mechi ya fainali ya Super Cup.
Tazama video chini:

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video