Golikipa wa Arsenal, Petr Cech ame-update video kwenye akaunti yake ya You Tube akionesha ujuzi wa kupiga drums huku akivaa Headphones.
Haijulikani video hii imerekodiwa lini kwani Cech yupo na kikosi cha Gunners katika maandalizi ya msimu mpya na huko hajapata nafasi ya kwenda studio yoyote.
Tazama Cech akipiga Drums hapa chini;
0 comments:
Post a Comment